Sunday, July 3, 2016

UKUU NA UWEZA WA MUNGU KATIKA IBADA




TUNAMSHUKURU SANA MUNGU WETU WA MBINGUNI KWA MATENDO YAKE MAKUU ALIYOTUTE NDEA KATIKA IBADA YA JUMAPILI YA TAREHE 26 JUN 16

Karibu na barikiwa kwa matukio mbalimbali katika  picha.

MCHUNGAJI KIONGOZI KANISA LA PAG CHUKWANI ZANZIBAR MCH AMOSI LUKANULA AKIFUNGUA IBADA KWA MAOMBI

SEHEMU YA WAUMINI WA KANISA LA PAG CHUKWANI WAKATI WA UFUNGUZI WA IBADA







SIFA NA KUABUDU IKIONGOZWA NA MWINJILISTI NA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI  ZANZBAR CHARLES DANIEL









                                                                

PIA KULIFANYIKA UZINDUZI WA VIOMBO VIPYA VYA SADAKA

MCHUNGAJI KIONGOZI KANISA LA PAG CHUKWANI ZANZBAR AKIONGOZA MAOMBI YA KUBARIKI VIOMBO VIPYA VYA SADAKA AKIWA NA WAZEE WA KANISA KUSHOTO NI ZAKARIA RICHARD NA KATI NI GILBELT ZEGELE

VIOMBO VIPYA VYA SADAKA VIKIBARIKIWA NA KUWEKWA WAKFU KWA KAZI YA BWANA


KILA MTU SASA ANATAMKA JAMBO KWA AJILI YA VIOMBO VIPYA VYA SADAKA

MCHUNGAJI KIONGOZI AKIVIFUNGUA VIOMBO VYA VIPYA VYA SADAKA KWA KUTOA SADAKA

SASA WAUMINI WANATOA SADAKA KATIKA VIOMBO VIPYA

MAMBO YANAZIDI  KUNOGA KILA MTU ANAZINDUA KWA SADAKA NONO


KILA MTU ANATAMANI AWE WA KWANZA

MWINJILISTI NAMWIMBAJI CHARLES DANIEL AKIWA TAYARI MADHABAHUNI KWA AJULI YA KUHUDUMU KWA  KUTOA NENO

 Somo- MAMLAKA YESU ALIOTUACHIA KANISA Mathayo 16 .16-19

Add caption

Add caption

MWINJILISTI CHARLES DANIELI AKIENDELEA KUFICHUA SIRI ZA UFALME WA MUNGU

MCHUNGAJI NA MAMA MCHUNGAJI AMOSI LUKANULA WAKIFUATIRIA NENO LA MUNGU KATIKA IBADA

BAADA YA NENO WATU WANAAMUA KUOKOKA

MCHUNGAJI AMOSI LUKANULA AKIWAONGOZA SALA YA TOBA WALIOAMUA KUOKOKA

WENYE SHIDA MBALIMBALI WAKIWA MBELE ZA BWANA

Add caption

MAPAMBANO YA ANA KWA ANA NA SHETANI SASA

MWINJILISTI CHARLE DANIEL KIMWEKEA MKONO MTU MMOJA MMOJA

KILA MTU AKIMWELEZA BWANA HAJA YA MOYO WAKE

UWEPO WA BWANA NDIO SIRI YA FURAHA

MUNGU AKUBARIKI KWA 

RATIBA YETU KWA WIKI 
Jumatatu   saa  10:00 –  12:30  Kipindi cha Wamama (WWK)
       Jumanne   saa  10:00 –  12:30  Kipindi cha uimbaji ( Wanakwaya)
                           Juma tano  saa  10:00 –  12:30 Mafundisho ya neon la Mungu kwa watu wote
  Alhamis     saa  10:00 –  12:30  Kipindi cha vijana wote (CA,S)
                              Ijumaa       saa   10:00 –  12:30 Kipindi cha Maombi kwa watu wote  
Jumamosi  saa   10:00  – 12:30 Mazoezi ya Uimbaji

Jumapili 

Saa   02:00 – 03:00  Asubuhi  -  Maombi

                  Saa   03:00 – 03:45  Asubuhi  - shule ya Jumapili (Sunduy  School)

Saa   03:45 – 07:30 Ibada kuu

KARIBU


0 comments:

Post a Comment